Kimiao cha Mashan ya Kati

Kimashan ya Kati ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kimashan ya Kati imehesabiwa kuwa watu 70,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimashan ya Kati iko katika kundi la Kihmongiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy